Our second “Teacher Feature” following Rose Assey is about Sarah Minja, another tutor who has been with Toa since 2016 and who has just been named Head Tutor at Moshi Primary School.  Once again, here is Sarah in her own words with my translations in italics….  Enjoy!  (Keep in mind, this was written in 2016, so there may be a few details that are now out of date!!)

Mimi Sarah Minja.

I am Sarah Minja.

Nimezaliwa katika hospitali ya Mawenzi mwaka 1991.  Nina umri wa miaka 25.

I was born in Mawenzi Hospital in 1991.  I am 25 years old.

Mnamo mwaka 1999-2006 niljiunga na kuhitimu shule ya msingi katika shule ya msingi Tella iliyopo Moshi.

During the years 1999 to 2006, I joined and graduated from the primary school Tella Primary School which is in Moshi.

Nilijiunga na sekondari mnamo mwaka 2007-2010 katika shule ya sekondari Maringeni iliyopo Moshi.

I joined secondary school from the years 2007 to 2010 at Maringeni Secondary School which is also in Moshi.

Nimeolewa na nina mtoto mmoja.

I am married and I have one child.

Nilijiunga na ualimu wa awali mnamo mwaka 2012 katika chuo cha Intel kilichopo Moshi.

I joined with nursery school teachers during the year 2012 at the college called Intel that is in Moshi.

Niliifahamu Toa Nafasi kupitia Mwalimu Mshiu.  Aliponielezea kuhusu Toa Nafasi, nilifurahi sana huduma hii nikaipenda kujiunga kwa kuomba kufanya kazi na Toa Nafasi.

I got to know of Toa Nafasi in passing from Teacher Mshiu.  When she explained about Toa Nafasi I was very happy this service that I liked so much to join and to ask to work at Toa Nafasi.

Mradi huu ni mzuri sana kwa sababu watoto waliopo kwenye mradi ni wale wasiojua kusoma wala kuandika hivyo mradi unawasaidia kupata mafunzo ya ziada kupitia walimu walioko kwenye mradi.

This project is very good because who were in the program are those who didn’t know how to read or write, so the project helps them to get additional training through the tutors who work with the project.

Mafanikio ya Toa Nafasi kwangu ni mazuri kwani yananisaidia kujikimu na maisha yangu na pia kusaidia familia yangu kwa ujumla.

The success of Toa Nafasi for me personally is good as it helps me to support my life and also to help my family as a whole.

Mafanikio ya mradi wa Toa Nafasi ni mazuri kwani jamii inatakiwa kushirikiana na mradi vizuri.

The success of The Toa Nafasi Project is good because the community is supposed to cooperate well with the project.